Mkopo KochaKupitia “Mkopo Kocha”, washauri wa biashara waliopata mafunzo maalum wanafanya kazi na wafanyabiashara kutathmini uhitaji wao wa pesa na kutengeneza mpango wa biashara unaomlenga mfanyabiashara moja kwa moja ili kuboresha maeneo ya uhifadhi wa mahesabu, upangaji na nyaraka zinazotakiwa kabla ya kuunganishwa na taasisi za fedha. Kwa maelezo zaidi, bonyeza hapa. Kuwapata washauri wa biashara wenye vigezo nenda kwenye kurasa ya utafutaji