Kuipata Bizfundi kwa haraka bila matatizo ya mtandao, pakua App

  1. Wanatoa maono ya fursa mpya za biashara
  2. Wanaongeza uwezo wako na hulka kwenye kutambua matatizo ya biashara, kufanya maamuzi, na kumiliki mpango wa utekelezaji wa biashara
  3. Wanaboresha ufanisi wa utendaji na kuongeza mtandao wako kupitia muongozo na ushauri juu ya ujuzi wa kuendesha biashara yenye mafanikio
  4. Ukuaji wa biashara kutokana na usimazi wa biashara ulioboreshwa na ujuzi wa biashara kupitia mafunzo kama ya ujuzi wa masoko, ujuzi wa usimamizi wa fedha, ujuzi wa kutengeneza mpango biashara n.k
  5. Uwezo na mbinu za kukaribia huduma za fedha kutokana na mafunzo ya utayari wa kupokea mikopo kabla ya kwenda kwenye taasisi za fedha
  6. Ukuaji na uendelevu wa biashara kutokana na kutumia teknolojia mpya ambayo inaongeza ufanisi wa biashara, ukuaji, na uendelevu
  7. Kuongeza upatikanaji wa masoko kutokana na mahusiano yanayokuza na kuwezesha ongezeko la wauzaji na wanunuzi na maendeleo ya biashara yanayohusisha ushirikiano kati ya kampuni za ndani na nje

Unganishwa na taasisi za fedha kupitia huduma ya ENGINE ya "Mkopo Kocha"
Angalia Jinsi ya kutumia bizfundi
Tembelea MSME information Portal
Habari zake
Habari za Biashara Tanzania