Bizfundi inakuunganisha na washauri wa biashara wanaoweza kukusaidia kuboresha uendeshaji wa biashara yako na kukuongezea nafasi ya kupata mikopo